BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Jeshi la Tanzania latoa onyo dhidi ya wavunjifu wa amani
Jeshi hilo limeeleza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kukabiliana na matukio yoyote ya vurugu, ghasia na uvunjifu wa amani.
Moja kwa moja, Wairan waanza kumuaga Khamenei mashaka yakiongezeka kuhusu hatima ya Mojtaba
Ayatollah Ali Khamenei aliuawa pamoja na jamaa wanne wa familia yake mwanzoni mwa vita kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
Kwaheri Cape Verde - timu 'kibonde' ambayo Kombe la Dunia halitaisahau
Safari ya Cape Verde katika Kombe la Dunia ilikuwa na kila aina ya matukio.
Je, msimamo wa Democrats kuhusu Israel ni upi?
Israel na operesheni zake za kijeshi huko Gaza na eneo zima la Mashariki ya Kati inazidi kuwa suala muhimu na la msingi kwa Chama cha Democratic, huenda ikachangia hoja itakayounda upya uongozi wa chama hicho katika uchaguzi ujao.
Kombe la Dunia 2026: Misri kukutana na Argentina katika hatua ya 16
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Misri imefuzu kwa hatua ya 16 michuano ya Kombe la Dunia baada ya kuishinda Australia kwa penalti 4-2
Je, shampoo hurekebisha nywele? Wataalamu waeleza hila 4 muhimu
Laura Waters, profesa wa uchambuzi wa dawa katika Chuo Kikuu cha Huddersfield, Uingereza, anaeleza kuwa wale wenye nywele kavu wanaweza kutumia shampoo isiyo na haluli ya chumvi yaani salfeti ili kulinda mafuta asilia ya nywele.
Lissu ataka kulipwa fidia kwa kesi yake ‘kucheleweshwa’
Lissu amedai kuwa upande wa Jamhuri umechelewesha shauri lake kwa makusudi ili kumweka kizuizini
Kwanini vita vijavyo dhidi ya Iran vinaweza kutokea mapema kuliko inavyofikiriwa - Reuters
Hatua moja ya vita vya Iran imemalizika, lakini ulimwengu unaweza kukosea kusitisha kabla ya uchaguzi kwa ajili ya amani ya kudumu.
Binadamu wa siku zijazo watakuwa na muonekano na sura gani?
Katika siku zijazo, mabadiliko yanaweza yasibakie tu kwenye mwonekano wa nje, kwani wanasayansi wanatumia teknolojia inayojulikana kama CRISPR kuhariri jeni za binadamu.
Jinsi makubaliano ya sekta ya afya kati ya Marekani na nchi za Afrika yalivyozua maoni yanayokinzana
Makubaliano kama haya yamekumbwa na mapingamizi makubwa katika baadhi ya nchi za Afrika wakidai kuhusu kutumika kwa taarifa binafsi na masuala ya madini.
Kwa nini Marekani bado inaitumia ndege hii ya kivita ya B-52 miaka 70 baadaye?
B-52 inahusishwa kwa karibu na mkakati wa Marekani wa kuzuia vita vya nyuklia. Ndege hii ilibuniwa awali kuwa sehemu ya uwezo wa Marekani wa kufanya mashambulizi ya masafa marefu iwapo kungezuka vita vikubwa vya nyuklia kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti wakati wa Vita Baridi.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026
Vyuo vikuu barani Afrika vinazidi kutambulika katika jukwaa la kimataifa, kwa kuchochewa na matokeo yenye nguvu ya utafiti, ushirikiano wa kimataifa, na ushawishi unaokua wa kitaaluma.
Nini huzuia wanawake wengi kutofika kileleni?
Sababu nyingine inayochochea wanawake kutofika kileleni wanapokuwa na wenzi wao ni ugumu wa kuzungumza na uwazi kuhusu wanachokipenda wakati wanashiriki ngono.
Zijue nchi 10 wauzaji wakubwa wa silaha duniani
Huku mivutano ya kijiografia ikiongeza duniani na kusababisha vita na migogoro, mahitaji ya vifaa vya kijeshi, kupitia biashara ya silaha, yanazidi kuongezeka katika ulimwengu.
Je, Tanzania inajenga makazi bora kwa nani?
"Hivi kweli mwananchi wa kipato cha chini hapo umewasaidiaje? NHC leteni miradi ya nyumba za kawaida za milioni 30 au 50. Mikopo ya nyumba iwe miaka 25 au 30," Vanessa Stafford aliandika kwenye ukurasa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Je, unaamka saa nane au tisa usiku na kushindwa kulala tena?
Watu wengi wanafikiri kuwa msongo wa mawazo ndio chanzo. Wengine wanahusisha hali na sababu mbaya za kiafya. Hata hivyo, kuamka nyakati hizo kunaweza kuwa ishara ya matatizo mbalimbali.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika 2026
Huku sehemu za bara zikiendelea kukabiliana na ugaidi, uasi, na ukosefu wa utulivu wa kisiasa, nchi kadhaa zimedumisha viwango vya juu vya amani na usalama.
'Tulipoingia ndani ya bunge la Kenya tulifyatuliwa risasi'
''Vijana Afrika Mashariki hatutakubali kunyamazishwa na viongozi ambao hawana nia ya kuheshimu katiba na demokrasia, viongozi wa Afrika Mashariki wajue hilo'', Ezekiel ambaye ni mwanaharakati Kenya aiambia BBC.
Makubaliano ya Iran na Marekani: Kwa nini nchi za Ghuba ya Uajemi bado zina wasiwasi?
Nchi za Kiarabu za Ghuba, ambazo ziko katikati ya mivutano kati ya Washington na Tehran, zinafuatilia kwa wasiwasi mkubwa maendeleo haya. Ikiwa mivutano itazidi tena, huenda ndizo nchi zitakazobeba mzigo mkubwa zaidi wa madhara.
Je, ndege ya Trump ya hali ya juu ina uwezo gani?
Airforce One: Rais wa Marekani Donald Trump ameitembelea ndege mpya ya rais, aliyokabidhiwa na Qatar mwaka mmoja uliopita, akiielezea kama "ndege ya kifahari zaidi duniani."
Mambo 5 yanayosababisha wenza kutoelewana
Ukosefu wa imani na kuaminiana katika uhusiano, ambao unaweza kufanya kuishi pamoja kuwa na migogoro au wasiwasi, na hatimaye unaweza kusababisha kutengana.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 6 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 3 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 3 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































