BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Trump adokeza mpango wa kukiteka Kisiwa cha Kharg nchini Iran, huku bei ya mafuta ikipanda
Katika mahojiano na gazeti la Financial Times, Rais wa Marekani anasema anataka ‘‘kuchukua’’ mafuta ya Iran lakini anaongeza kuwa mkataba unaweza kufikiwa ‘‘haraka’’.
"Trump agundua Israel ilimdanganya " - The Independent
Katika gazeti la The Independent, makala ya Robert Fox inaangazia mwenendo wa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, yenye kichwa "Hatimaye, Donald Trump ametambua kwamba Israel imemfanyia hila."
Kwa nini Marekani inalenga kukiteka kisiwa cha Kharg cha Iran?
Kisiwa hicho kidogo kina miundombinu muhimu ya nishati ya Iran.
Hatima ya kilo 440 za urani iliyorutubishwa ya Iran ni ipi? – Uchambuzi
''Ikiwa Marekani inajua mahali ilipo urani hiyo, kwa nini ichague njia ya kijeshi?'', mwandishi Mark Urban anauliza.
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Wasiwasi waikumbuka Bayern Munich huku ligi ya Saudia ikijaribu kumshawishi Hary Kane
Bayern Munich wanahofia vilabu vya Saudi Pro League vinamlenga Harry Kane, Bernardo Silva yuko tayari kuondoka Manchester City na Inter Miami kuanza mazungumzo na Casemiro wa Manchester United.
Kwanini Iran inatoza ushuru meli kupita Mlango- Bahari wa Hormuz?
Marekani na Iran zimeonyesha misimamo yake,na kuendelea kupimana nguvu kiasi hiki kunaleta athari gani?
Mchwa mmoja kwa dola 220: Eneo jipya la biashara haramu ya wanyamapori
Hamasa ya kukusanya mchwa imeishangaza Kenya huku wasafirishaji haramu wakilenga kujipatia faida.
Nepal yamuapisha aliyekuwa rapa kuwa Waziri Mkuu mpya
Mwanamuziki maaraufu wa rap (Rapa) ambaye sasa amejitosa kwenye siasa Balendra Shah ndiye aliyeapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Nepal baada ya ushindi wake wa kishindo.
Israel yaua wanahabari watatu katika shambulio la anga nchini Lebanon
Israel imekuwa ikituhumiwa kulenga wanahabari nchini Lebanon tangu vita ya Iran kuanza. Wiki iliyopita, mtangazaji maarufu wa Al Manar, Mohammad Sherri, na mkewe waliuawa katika shambulio lingine dhidi ya wanahabari.
Waasi wa Houthi kujiunga vita ya Iran ina maana gani kwa dunia?
Waasi wa Houthi kutoka Yemen ni miongoni mwa washirika wakuu wa Iran katika ukanda wa Mashariki ya Kati, na kwa muda mrefu wamekuwa wakijihusisha na mashambulizi ya hapa na pale dhidi ya Israel tangu vita vya Gaza vilipoanza Oktoba 2023.
Kwa nini UAE inalipa gharama kubwa zaidi kwa vita vya Iran?
Wakati vita vya Iran vikiingia katika wiki yake ya nne, Umoja wa Falme za Kiarabu umeibuka kama shabaha ya wazi ya Tehran.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mazungumzo ya amani ya Marekani na Iran yamweka Netanyahu njia panda
US President Donald Trump has pointed to diplomatic talks to end the offensive - but Israel might not yet be ready to walk away.
Masharti matano ya Trump yatakayoamua hatima ya Iran
Waziri wa Uchumi wa Israel, Nir Barkat, aiambia BBC kwamba inaonekana si kwamba Iran itakubali mpango wa hoja 15 wa Marekani, akisema ni ‘mzuri kwenye karatasi’ lakini unahitaji dhamana ili utekelezwe”.
Hatima ya mazungumzo ya Marekani na Iran katika kivuli cha kutoaminiana
Kutoelewana kuko wazi. Washington inazungumzia maendeleo katika mazungumzo; Tehran inakataa kabisa. Lakini hili halihusu tu kutokubaliana; pia inaonyesha kutoaminiana.
Nani anataka nini na kwa nini katika mazungumzo ya Marekani na Iran?
Kuna mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja kati ya pande hizo mbili, lakini makubaliano bado yanaweza kuwa mbali kufikiwa.
Kenya inavyosogea kwenye siasa za maneno ya nguoni
Maneno yanayozungumzwa na wanasiasa kwao yanaweza kuwa jukwaa la kisiasa tu lakini athari yake kwa umma ni zaidi ya hilo.
Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
Viongozi wakuu 20 wa Iran waliouawa ndani ya siku 20 za vita
Na ndani ya siku 20 tu za vita, idadi kubwa ya maafisa wa kijeshi, usalama na kisiasa wameuawa katika mashambulizi ya mfululizo ndani na nje ya Iran. Orodha hii inaangalia vigogo wakubwa
Tommy Thompson: Aligundua dhahabu tani 14 kwenye meli iliyozama baharini
Watu 425 walipoteza maisha yao katika ajali hiyo.
Makadirio mabaya ya Donald Trump kuhusu vita vya Iran
Aidha Trump hakutilia maanani kuwa kupanda kwa bei ya mafuta duniani, kutaiongezea Urusi mapato na kuisaidia kuimarika kiuchumi na katika vita dhidi ya Ukraine.
Wapiganaji wa Kikurdi: Kifahamu kikosi cha siri cha jeshi la wanawake pekee
Huku mashambulizi ya Marekani na Israel yakiendelea, uvumi unaongezeka kwamba makundi ya Wakurdi wa Iran walio na silaha walioko nchini Iraq hivi karibuni huenda wakavuka mpaka na kuingia vitani dhidi ya jamhuri ya Kiislamu. BBC imetembelea kundi moja la wapiganaji wa Kikurdi - kikosi cha wanawake wote.
Ajali 7 za ndege mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani
Ajali hizi zilizoteketeza uhai wa maelfu ya watu zimechangiwa na sababu mbalimbali, zikiwemo za kiufundi, kugongana na hata kushambuliwa
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 30 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 30 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 30 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani







![Mchwa wakubwa wa Afrika wanaokusanya nafaka, wanaoonekana hapa nchini Kenya , wanapendwa na wakusanyaji] kote duniani.](https://ichef.bbci.co.uk/ace/ws/240/cpsprodpb/7761/live/aa82d2e0-2a1b-11f1-b297-95b0a0a8331e.jpg.webp)






















































