BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Ndege ya kivita ya Marekani yadunguliwa Iran
Shirika la habari la Iran la Tasnim linadai kuwa Marekani inamtafuta mmoja wa marubani wake; BBC imewasiliana na Kamandi Kuu ya Marekani kwa maoni.
Rubani mmoja wa ndege ya kivita ya Marekani aokolewa - Maafisa
Kulingana na maafisa, rubanihuyo ameokolewa na vikosi vya Marekani.
Bei ya kondomu huenda ikapanda kutokana na vita vya Iran, Marekani na Israel
Sababu kuu ya tatizo hili ni matatizo yanayohusiana na usambazaji kutokana na vita. Uhaba wa makontena ya usafirishaji duniani unachelewesha usafirishaji kwa wateja nje ya nchi.
Sarafi ya kurejea tena kwenye Mwezi ina umuhimu gani?
Kuanzia kushindana na China hadi uvumbuzi wa mwezi, Marekani inawekeza muda, juhudi na pesa kuelekea Mwezini - na kwingineko.
Jinsi tishio la Urusi linavyoisukuma Ujerumani kuunda jeshi lenye nguvu zaidi Ulaya
Ujerumani inaamini kwamba juhudi za Urusi za kuimarisha jeshi lake kutaipa nguvu ya kutosha kuweza kushambulia eneo la NATO kufikia mwaka 2029.
Jinsi mkakati wa vita wa Iran ulivyowashangaza Marekani na Israel
Balozi wa zamani wa Marekani katika NATO, Ivo Dalder, akijibu hotuba hiyo, alisema kuwa kauli ya Trump imezua "mashaka kuhusu malengo ya vita" na kuacha maswali kadhaa muhimu bila majibu.
Je, tunaelekea katika vita vya tatu vya dunia?
Kuingilia kati kwa Marekani pia kunachochea hali kuwa mbaya zaidi kwani hata nchi zisizohusika moja kwa moja huathirika kiuchumi au kimkakati.
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Rogers, kuondoka Aston Villa huku Chelsea, Liverpool, Arsenal na Man United zikimtaka
Morgan Rogers yuko tayari kuondoka Aston Villa, RB Leipzig waliweka bei ya pauni milioni 87 kwa Yan Diomande na Saudi Pro League kuongeza harakati za kumnasa Mohamed Salah.
Unachopaswa kujua kuhusu vikosi vitakavyoshiriki mashindano ya kombe la dunia 2026
DR Congo na Iraq zilikuwa timu za mwisho kufuzu katika michuano ya kushiriki kombe la dunia.
Ima wakuue au ujiue mwenyewe: Kilichotokea katika eneo la kuajiri na kuangamiza vijana
Ugunduzi huo uliishtua Mexico na kuvuka mipaka ya kimataifa kwa sababu ilionekana kuwa eneo la kuajiri watu la CJNG lilikuwa pia ndio eneo la mauaji ya halaiki.
Pakistan imewezaje kuwa mpatanishi wa vita vya Trump na Iran?
Pia haina kambi za anga za Marekani. Na tofauti na wapatanishi wengi wa Ghuba bado Pakistan haijaingizwa kwenye mzozo huo. Muhimu zaidi, iko tayari kuingilia kati - amani kati ya Marekani na Iran itakuwa na manufaa yake.
Waridi wa BBC: Muundaji maudhui aelezea safari ngumu aliyopitia katika kupunguza uzito
Lydia Wanjiru amefunguka kuhusu safari yake ya mabadiliko ya mwili, akieleza jinsi alivyopunguza uzito kwa kiasi kikubwa kabla ya kuamua kufanyiwa upasuaji wa urembo, kupunguza mafuta kwenye tumbo lake na kuongeza makalio yake.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Trump anapigana vita kwa kufuata hisia na hazifanyi kazi
Siku kumi na tatu baada ya vita, Trump aliulizwa na Fox News Radio vita vitaisha lini. Alijibu kwamba hakufikiri kwamba vita "vingekuwa virefu". Kuhusu kuimaliza, alisema "nitakapoihisi."
Hatima ya mazungumzo ya Marekani na Iran katika kivuli cha kutoaminiana
Kutoelewana kuko wazi. Washington inazungumzia maendeleo katika mazungumzo; Tehran inakataa kabisa. Lakini hili halihusu tu kutokubaliana; pia inaonyesha kutoaminiana.
Kwa nini ni vigumu kwa Marekani kuchukua madini ya urani ya Iran?
Kuchimba akiba hiyo ya urani itakuwa moja ya "operesheni ngumu zaidi katika historia", afisa wa zamani wa ulinzi aliambia BBC.
Kwa nini Marekani inalenga kukiteka kisiwa cha Kharg cha Iran?
Kisiwa hicho kidogo kina miundombinu muhimu ya nishati ya Iran.
Silaha iliyoundwa na Iran inavyobadilisha vita vya anga duniani
Jeshi la Iran lilikuwa limeathiriwa na vita vya miaka mingi, na vikwazo vya Marekani vilimaanisha kwamba hakukuwa na njia rahisi ya kujenga upya jeshi lenye nguvu.
Je, kuna uwezekano gani kwa Marekani kuanzisha operesheni ya kijeshi ya ardhini Iran?
Wakati vita kati ya Iran, Marekani na Israel vikiingia siku yake ya thelathini, mkondo wa vita hivyo unashuhudia matukio ya haraka na mwelekeo unaobadilika zaidi
Kenya inavyosogea kwenye siasa za maneno ya nguoni
Maneno yanayozungumzwa na wanasiasa kwao yanaweza kuwa jukwaa la kisiasa tu lakini athari yake kwa umma ni zaidi ya hilo.
Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
WARIDI WA BBC: 'Namlea mwanangu anayenitegemea saa 24 bila kupumzika'
Mwezi mzima wa Machi unatambulika kuwa wa kitaifa katika uhamasishaji wa tatizo la kupooza kwa ubongo.
Viongozi wakuu 20 wa Iran waliouawa ndani ya siku 20 za vita
Na ndani ya siku 20 tu za vita, idadi kubwa ya maafisa wa kijeshi, usalama na kisiasa wameuawa katika mashambulizi ya mfululizo ndani na nje ya Iran. Orodha hii inaangalia vigogo wakubwa
Makadirio mabaya ya Donald Trump kuhusu vita vya Iran
Aidha Trump hakutilia maanani kuwa kupanda kwa bei ya mafuta duniani, kutaiongezea Urusi mapato na kuisaidia kuimarika kiuchumi na katika vita dhidi ya Ukraine.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































