BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Maandamano ya kupinga wahamiaji Afrika Kusini yashuhudiwa, raia wawili wa Nigeria waripotiwa kufa
Maandamano ya “March and March Movement,” yanayopinga uhamiaji yamefanyika mjini Pretoria, mojawapo ya miji yenye wahamiaji wengi nchini Afrika Kusini.
Droni za Iran zilivyobadilisha nguvu ya vita katika migogoro ya kimataifa
Ndege zisizo na rubani za Iran huonekana mara kwa mara katika shughuli za Hezbollah kwenye mpaka na Israeli. Pia zinatumiwa na Wahouthi nchini Yemen. Iran imefikaje hapo?
Je, hali ikoje katika ligi tano bora za Ulaya msimu unapokaribia kuisha?
Tumefika hatua ya mwisho ya ligi tano bora za Ulaya, ambapo ushindani unazidi kuwa mkali na timu zinapigana kwa matumaini ya kupata matokeo mazuri kabla ya mwisho wa msimu.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Vita vya Iran: Kwa nini Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran haonekani hadharani?
Kutokuwepo kwa Vahidi katika hadhira kuna utofauti mkubwa ukilinganishwa na maafisa wengine wakuu wa IRGC waliohudumu hapo awali.
Je, NATO inaweza kuwa nguvu ya kuaminika bila Marekani?
Je, nchi za Ulaya zinaweza kukusanya nguvu za kisiasa na kijeshi za kutosha kujilinda bila Marekani?
Kisa nadra cha mwanamke aliyepata ujauzito wa wanaume wawili kwa wakati mmoja
Sababu nyingine inayofanya visa hivi viwe nadra ni kwamba watu wengi hawafanyi vipimo vya kujua baba ya mtoto ni nani.
Tetesi za soka Ulaya: Newcastle yafikiria kumuuza Wissa, Delap ataka kubaki Chelsea
Newcastle yafikiria kumuuza Yoane Wissa, Delap ataka kupigania nafasi Chelsea, Barcelona yamtaka Julian Alvarez
Glasi moja ya bia inaweza kuimarisha afya ya ubongo na kuongeza vitamini mwilini - utafiti
Kulingana na utafiti, lita moja ya bia inaweza kuwa na kati ya miligramu 0.3 hadi 1 ya vitamini B6.
Mlango Hormuz: Hatari ya mabomu ya baharini ni ipi na kwa nini kuyaondoa ni vigumu?
"Haya ni mabomu yanayolenga shabaha. Yanaitwa 'mabomu ya akili' kwa sababu yanaweza kutofautisha kati ya meli za mafuta, za kivita au za kibiashara na kulipuka kwa kulenga aina fulani ya meli", anasema Mtaalamu wa ulinzi Rahul Bedi
Uwanja bora zaidi wa ndege duniani ukoje na siri ya kuufanya paradiso ni ipi?
Wakati viwanja vingine vikubwa vya ndege vikikabiliwa na panya, migomo ya wafanyakazi na miundombinu inayoporomoka, utulivu wa kisasa wa kiwanja cha ndege cha Changi unaonekana kuwa katika dunia yake ya kipekee.
Je, nchi za Kiarabu zinatarajia nini katika mazungumzo ya Marekani na Iran?
Kulikuwa na hali ya afueni miongoni mwa nchi za Baraza la Ushirikiano wa Ghuba (GCC) wakati Marekani na Iran zilipokubaliana kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili tarehe 8 Aprili.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Ukimya wa Al Qaeda juu ya vita vya Iran, Marekani na Israel una maana gani?
Baada ya mashambulizi ya 9/11, viongozi wengi muhimu wa Al-Qaeda na familia zao walikimbia Afghanistan na Pakistan na kwenda Iran.
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Tume ya uchunguzi yasema watu 518 walifariki dunia wakati wa ghasia za uchaguzi Tanzania
Tume imesema idadi hyo inaweza kuwa kubwa zaidi kwani Tume inasema kuwa kuna uwezekano kuwa baadhi ya familia zimezika wapendwa wao bila kuwafikisha katika vituo vya kutolea huduma ya afya au hawakupata fursa ya kuja mbele ya tume.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
Iran haina namna zaidi ya kurejea katika meza ya mazungumzo
Naibu rais wa Marekani JD Vance anayetarajiwa kuongoza mazungumzo hayo nchini Pakistan, bado hajaondoka nchini Marekani na safari yake imehairishwa.
Slowjamastan: Taifa jipya nchini Marekani
Ingawa Sultan anasema wageni wanakaribishwa katika eneo la jangwa la Slowjamastan, kwa sasa hakuna sehemu ya kulala kwa wageni wanaotaka kukaa usiku.
'Waliniambia amekufa': Wanajeshi wa Uingereza waliotelekeza watoto Kenya kufuatiliwa
Vipimo vya DNA na mchakato wa kisheria umefanikiwa kuwabaini baba wa watoto 20 wanajeshi wa Uingereza waliozaliwa karibu na kambi ya jeshi la Uingereza nchini Kenya.
Asim Munir: Kutoka mkuu wa ujasusi hadi kuwa mpatanishi wa vita vya Iran
Ni miongoni mwa watu wachache ambao waliwaunganisha viongozi wa Marekani na Iran kupitia mawasiliano ya simu, akipitisha ujumbe kati ya pande hizo mbili kama mpatanishi anayeaminika.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Afya yako
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 29 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 28 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 28 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani





























































