Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Marekani na Iran zafikia makubaliano ya amani
Marekani na Iran zafikia makubaliano ya amani
Iliyochapishwa
Marekani na Iran zimetangaza kufikia makubaliano ya awali ya kumaliza vita kati yao, kumaliza miezi kadhaa ya mvutano uliotikisa Mashariki ya Kati.
Israel haijaridhishwa na makubaliano ya kusitisha mapigano hasa Lebanon.
Hata hivyo, hafla ya kutia saini makubaliano inatarajiwa kufanyika Ijumaa wiki hii nchini Uswizi.
Mariam Mjahid na maelezo zaidi.