BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Moja kwa moja, Iran yatoa pendekezo la kumaliza vita na Marekani huko Islamabad
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema amewasilisha “maoni na mitazamo ya Tehran” kuhusu kumaliza vita, katika mkutano na mkuu wa majeshi ya Pakistan mjini Islamabad.
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Tetesi za soka Ulaya: Rogers azigonganisha Arsenal, Man United
Morgan Rogers hana neno kuhamia Ulaya, Manuel Akanji anatarajiwa kuhamia moja kwa moja Inter Milan, huku Manchester City wakiwa na imani ya kumsajili Elliot Anderson.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon yaongezwa kwa wiki tatu
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon yamesogezwa mbele kwa muda wa wiki tatu, lakini akasisitiza kuwa hatakimbilia kufikia makubaliano yoyote na Iran.
Maafisa wa Iran watoa majibu yanayofanana kwa Trump
Kamanda wa jeshi la IRGC na Quds amesisitiza uwepo wa mshikamano katika idara za serikali ya Iran.
Kujifunza kuendesha baiskeli kulivyowasaidia wanawake kujifunza kusoma na kuandika
Baadhi ya wanawake ambao walijifunza kuendesha baiskeli miaka ya 1990, walijipatia nafasi nzuri za kazi, wakabadilisha maisha yao, pamoja ya watoto na wajukuu wao.
Je, Iran inaweza kutengeneza silaha za nyuklia?
Katika mwanzo wa vita Iran ilikuwa na kilo 440 ya Urani ambayo imerutubishwa kwa kiwango cha 60% kulingana na maafisa wa Marekani.
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Tume ya uchunguzi yasema watu 518 walifariki dunia wakati wa ghasia za uchaguzi Tanzania
Tume imesema idadi hyo inaweza kuwa kubwa zaidi kwani Tume inasema kuwa kuna uwezekano kuwa baadhi ya familia zimezika wapendwa wao bila kuwafikisha katika vituo vya kutolea huduma ya afya au hawakupata fursa ya kuja mbele ya tume.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
Iran haina namna zaidi ya kurejea katika meza ya mazungumzo
Naibu rais wa Marekani JD Vance anayetarajiwa kuongoza mazungumzo hayo nchini Pakistan, bado hajaondoka nchini Marekani na safari yake imehairishwa.
Slowjamastan: Taifa jipya nchini Marekani
Ingawa Sultan anasema wageni wanakaribishwa katika eneo la jangwa la Slowjamastan, kwa sasa hakuna sehemu ya kulala kwa wageni wanaotaka kukaa usiku.
'Waliniambia amekufa': Wanajeshi wa Uingereza waliotelekeza watoto Kenya kufuatiliwa
Vipimo vya DNA na mchakato wa kisheria umefanikiwa kuwabaini baba wa watoto 20 wanajeshi wa Uingereza waliozaliwa karibu na kambi ya jeshi la Uingereza nchini Kenya.
Asim Munir: Kutoka mkuu wa ujasusi hadi kuwa mpatanishi wa vita vya Iran
Ni miongoni mwa watu wachache ambao waliwaunganisha viongozi wa Marekani na Iran kupitia mawasiliano ya simu, akipitisha ujumbe kati ya pande hizo mbili kama mpatanishi anayeaminika.
Tamu na chungu ya maridhiano Tanzania
Serikali inaona maridhiano kama mchakato unaohitaji utulivu na utaratibu. Upinzani unaona kama haki iliyochelewa kutendeka. Katikati ya mitazamo hiyo miwili, Watanzania wanasalia wakijiuliza maridhiano haya ni ya nani, kwa ajili ya nani, na kwa gharama gani?
Marekani itawezaje kuzuia meli za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz?
Marekani itategemea meli zake za majini kudhibiti bandari za Iran, na hivyo kuzuia uwezo wa Tehran kufaidika na mauzo ya mafuta nje ya nchi katika jaribio la kuweka shinikizo kwa nchi hiyo. Itawezekana?
Uchunguzi wa siri wa BBC wabaini kuwa wahamiaji hujifanya wapenzi wa jinsi moja ili kupata hifadhi
BBC imefichua sekta ya kificho inayowatoza wahamiaji maelfu ya pauni ili kuwasaidia kukwepa mfumo wa kutoa hifadhi.
Wanyama wanaofugwa nyumbani wanavyozikwa kifahari nchini Kenya
''Sio paka wakula panya, ni rafiki anayekutoa msongo wa mawazo'', Muthoni Nyokabi, daktari wa mifugo anaiambia BBC.
Viboko wa kokeni: Kwa nini Colombia inataka kuwaua viboko wa Pablo Escobar?
Serikali ya Colombia imetangaza mipango ya kuwaua hadi viboko 80 kati ya mamia ya “viboko wa kokeni” waliotokana na dume mmoja na majike watatu walioingizwa nchini na mfanyabiashara wa dawa za kulevya Pablo Escobar kwa ajili ya bustani yake binafsi ya wanyama.
Jinsi Iran Ilivyogeuza Mlango wa Hormuz kuwa silaha yenye nguvu zaidi duniani
Ikiwa Iran itajaribu kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, swali kuu ni kama Marekani, nchi za Magharibi, na washirika wa kikanda watakubali hatua hiyo.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 27 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 24 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 24 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 24 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani




























































